Leviticus 18:4-5

4 aNi lazima mzitii sheria zangu, na mwe waangalifu kuzifuata amri zangu. Mimi ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wenu. 5 bZishikeni amri zangu na sheria zangu, kwa maana mtu anayezitii ataishi kwa hizo. Mimi ndimi Bwana.

Copyright information for SwhKC